Loading...

Rais wa Juventus ameahidi zawadi hii kwa wachezaji kama watafanikiwa kushinda taji la UEFA

Usiku wa leo, June 3 2017 mchezo wa fainali ya UEFA Champions League msimu wa 2016/2017 ndio utachezwa katika uwanja wa Millenium jijini Cardiff nchini Wales kwa kuzikutanisha timu za Real Madrid dhidi ya Juventus.

Huu ni mchezo ambao unatajwa kuwa na mvuto zaidi kwa siku ya leo kutokana na historia ya michuano hiyo ambayo ni mikubwa barani Ulaya, kuelekea game hiyo beki wa Juventus Dani Alves ameweka wazi zawadi waliyoahidiwa na Rais wa club yao.

Juventus kama watafanikiwa kutwaa Ubingwa wa UEFA Champions League msimu wa 2016/2017 dhidi ya Real Madrid wameahidiwa na Rais wa Club yao kuwa wachezaji watapewa Ferrari wakifanikiwa kushinda taji hilo.

Rais wa Juventus ameahidi zawadi hii kwa wachezaji kama watafanikiwa kushinda taji la UEFA Rais wa Juventus ameahidi zawadi hii kwa wachezaji kama watafanikiwa kushinda taji la UEFA Reviewed by Zero Degree on 6/03/2017 07:22:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.