Loading...

Singida United, AFC Leopards kufungua dimba michuano ya 'SportPesa Super Cup' leo hii

Kocha mpya wa Singida United, Hans van der Pluijm, akiendelea na kazi yake ya kukiandaa kikosi chake kipya.
Baada ya maandalizi ya michuano ya 'SportPesa Super Cup' inayoanza kutimua vumbi Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar.

Wachezaji wa timu ya AFC Leopards ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam
Michuano hiyo itafunguliwa kwa mchezo kati ya Singida Utd na AFC Leopards, mechi ya pili itakuwa ni kati ya wenyeji Yanga na Tusker Fc na Juni 6 mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Simba vs Nakuru All Stars na mchezo wa pili utakuwa ni kati ya Gor Mahia Vs Jang'ombe Boys Fc.
Singida United, AFC Leopards kufungua dimba michuano ya 'SportPesa Super Cup' leo hii Singida United, AFC Leopards kufungua dimba michuano ya 'SportPesa Super Cup' leo hii Reviewed by Zero Degree on 6/05/2017 09:20:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.