Loading...

StarTimes kuonyesha michuano ya Mabara 'live'



Michuano ya Mabara itaanza rasmi wikiendi hii ikishirikisha timu nane kutoka sehemu mbalimbali duniani.


Mashabiki wa soka nchini, wamepata bahati kwa kuwa watashuhudia michuano hiyo mubahara kabisa.

StarTimes itarushusha michuano yote hiyo kutoka nchini Urusi ambayo fainali yake ni Julai 2.

Makundi katika Michuano hiyo:
KUNDI A
  • Russia
  • New Zealand
  • Ureno
  • Mexico
KUNDI B
  • Cameroon
  • Chile
  • Australia
  • Ujerumani
StarTimes kuonyesha michuano ya Mabara 'live' StarTimes kuonyesha michuano ya Mabara 'live' Reviewed by Zero Degree on 6/13/2017 04:22:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.