Ufisadi: Evans Avena na Geofrey Nyange 'Kaburu' wa klabu ya Simba waswekwa rumande
Viongozi hao wa juu wa klabu ya hiyo wanatuhumiwa kwa makosa tofauti tofauti likiwemo la utakatishaji fedha ndani ya klabu hiyo.
Kaburu na Aveva kutokana na makosa yao kukosa dhamana wamerudishwa rumande mpaka julai 13 ambapo kesi hiyo itakaposikilizwa tena.
Aveva na Kaburu walitanguliwa na Rais wa TFF, Jamal Malinzi ambaye hataweza kutetea kiti chake cha urais kwa kuwa amepelekwa mahabusu katika Gereza la Segerea baada ya kukosa dhamana hadi Jumatatu Julai 3 kesi yake itakaposikilizwa tena.

Malinzi pamoja na Katibu wake, Mwesigwa Celestine wanashitakiwa kwa makosa 28 yakiwemo ya kugushi na utakatishaji fedha.
Wote wawili wamepandishwa gari kwenda Segerea hadi Jumatatu kesi yao itakaposikilizwa tena.
Pamoja na wao, Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange 'Kaburu' wanaoshitakiwa kwa makosa ya utakatishaji, nao wamechukuliwa kupelekwa Segerea.
Kutokana na makosa yao kukosa dhamana, Kaburu na Aveva pia watakuwa mahabusu hadi Julai 13.
Ufisadi: Evans Avena na Geofrey Nyange 'Kaburu' wa klabu ya Simba waswekwa rumande
Reviewed by Zero Degree
on
6/29/2017 05:15:00 PM
Rating: