Urusi yalipiza kisasi kwa kuwafukuza wanadiplomasia 5 wa Taifa hili
Waziri mkuu wa Moldova, Pavel Filip amesema kwamba kulikua na sababu maalum za kuwafukuza wanadiplomasia wa Urusi kutoka nchini mwao |
Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema ina matumaini Moldova alijua faida kubwa ya matendo yake.
Moldova haikutoa sababu za kufukuzwa kwa wanadiplomasia hao licha ya kwamba hakukua na mvutano wowote baina ya pande hizo mbili.
Urusi inasema iwapo Moldova itatoa sababu inayoeleweka basi kuna uwezekano wa kusawazisha mambo.
Moldova haikutoa sababu za kufukuzwa kwa wanadiplomasia hao licha ya kwamba hakukua na mvutano wowote baina ya pande hizo mbili.
Urusi inasema iwapo Moldova itatoa sababu inayoeleweka basi kuna uwezekano wa kusawazisha mambo.
Urusi yalipiza kisasi kwa kuwafukuza wanadiplomasia 5 wa Taifa hili
Reviewed by Zero Degree
on
6/01/2017 09:10:00 AM
Rating: