Loading...

Yanga kucheza dhidi ya AFC Leopards ya Kenya kwenye nusu fainali ya 'SportPesa Super Cup'


Klabu ya Yanga kutoka Kutoka Tanzania imetinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Sportpesa Super Cup baada ya kuigaragaza Klabu ya Tusker kutoka Kenya kwa magoli 4-2 ya kwenye ya mikwaju ya Penati baada ya kutoshana nguvu dakika 90.

Kwa matokeo hayo Yanga itaungana na klabu ya AFC Leopard kutoka Kenya kucheza nusu fainali ya Kombe la Sportpesa Super Cup siku ya Alhamis ya Tarehe 8-June wiki hii saa 8:00 mchana kunako dimba la uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Yanga kucheza dhidi ya AFC Leopards ya Kenya kwenye nusu fainali ya 'SportPesa Super Cup' Yanga kucheza dhidi ya AFC Leopards ya Kenya kwenye nusu fainali ya 'SportPesa Super Cup' Reviewed by Zero Degree on 6/06/2017 10:52:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.