Loading...

Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 15



MTUNZI: MC Short Charles Gwimo

Ilipoishia.........Fauzia alipandisha mzuka tena akitaka na sisi tuliendeleze kama Mood na Fety. Nilimkatalia lakini alinizidi nguvu na kunibwaga chini puuu! Kama furushi la mitumba lishushwavyo nchi kavu. Nilianguka mchangani nikiwa nimeikamatia mikono kwenye mahala ilipo chururu yangu kama vile naogopwa kubakwa. Tukiwa kwenye purukushani ile ya sitaki, nataka, tuligutushwa na sauti ya vigelegele toka kwa Fatuma au Fety tukidhani anatushangilia sisi kumbe ndiyo mtindo wake wa kuhitimisha safari ya mchezo wa mapenzi.

Endelea nayo: Muda ulikuwa umeyoyoma sana kwani nyuso za saa zetu zilisomeka saa kumi na mbili na robo huku jua likiwa magharibi kabisa. Niliamka kutoka mchangani nilipokuwa nimebwagwa na Fauzia baada ya purukushani ya kutotaka kufanya marudio ya kitendo walichokuwa wakiendeleza wenzetu. Nilijifuta mchanga kwa ustadi mkubwa kisha tukaungana na wenzetu ambao walikuwa wamelikamilisha zoezi lao. Tulipongezana kwa kugongeshana viganja vya mikono yetu huku tukiagana na ufukwe huu wa kibirizi uliokuwa umeanza kupooza kwa watu kutawanyika. Tulikokotana kwa kushikana viuno bila haya kama vile wanandoa halali kumbe viranga wakubwa tuliofumaniwa na mapenzi kabla ya akili zetu hazijakomaa zaidi ya kubalehe tu na kuvunja ungo kwa hawa wenzetu. Tulijikongoja mpaka barabarani ambako tulipata gari aina ya taxi iliyotuchukua kurudi shuleni huku malipo yote yakifanywa na Fety aliyekuwa amejaa kinoma kutuzidi sisi madume. Wallah! Nakuapia, ingekuwa ni kipindi hiki cha utandawazi ambacho kinadada wengi wanajali pesa kuliko mapenzi, nadhani tungeliitwa waanaume suruali au buzi kavu.

********

Tulijipakia kwenye siti ya nyuma ya dereva wote wane, tukimuacha ddereva na kampani yake wakae pamoja. Dereva hakushangazwa na kubanana kwetu kwenye mbanano wa nafasi ya watu watatu, alichokijali kutoka kwetu ni mkwanja tu. Dereva alirekebisha kioo cha ndani kilichopo mkabala na kichwa chake ili aweze kutuona vizuri ingiwa hakukuwa na ulazima wa kufanya hivyo. Ukweli ni kwamba hata yeye alizuzuliwa na hawa madada kwa uzuri na urembo wao kama ujuavyo madereva huwa hawachagui mahali pakupaki magari yao linapotokea suala la kupenda. Safari iliendelea kwa dereva kuwa makini na shughuli yake huko na sisi tukiendeleza kile tulichokisaza ufukweni kibirizi. Walianza Mood na Fety kwa kuminyana minyana mapajani huku mimi na Fey tukitazamana kwa uoga mithili ya majimbi yaliyochoshana nguvu kwa kugombania “Koo” yaani kuku jike.


********

Tulipofika maeneo ya Mwembetogwa, uzalendo ulinishinda nikaanza kuitafuta burudani ya moyo wangu. Niliupeleka mkono wangu taratibu nyuma ya kiuno cha Fauzia ambaye alijikaza kama vile hajaguswa na chochote huku macho yake akiwa ameyalegeza na kuyafanya yaonekane yenye kung’aa mfano wa paka shume kwenye giza totoro. Niliendeleza utundu wangu kwa kupeleka mkono wangu kwenye bambataa la kimwana huyu huku akiyavuta mate kama mtu aliyekula pilipili kichaa kwenye mboga aipendayo. Niliubarizisha mkono wangu kwa kuupeleka kwenye mfereji maringo unaotenganisha kisiwa cha mahaba na wakazi wa Mombasa. Kidole cha shahada kilichukua nafasi kubwa kucheza na kinyama maraha jambo lililomsababishia Fauzia anidake shingo kwa ghafla na kuupenyeza ulimi wake kinywani mwangu kunogesha zoezi letu.


********

Purukushani ziliendelea kimya kimya tukisaiddiwa na giza ndani ya gari huku minong’ono isiyoeleweka ikisikika kwa kila mmoja wetu. Nilipiga jicho kwa pembeni ili niwatazame wenzetu, nikawaona wako katika hali mbaya kuliko ile ya kwetu na Fauzia. Sikuwajali zaidi ya kuendeleza ufundi zaidi. Nilimfanyia ‘massage’ ya kibantu mtoto Fauzia kwa kumchua kimya kimya maeneo ya kwenye chuchu kushuka kwenye kiboksi cha kuhifadhia vinyweleo, ulimi wangu ukiwa kwenye tundu la sikio la kushoto. Nilipoona anaanza kutoa sauti kama vile nyuki mzingani, nilimuwahi kwa kumpa kinywa change ili niidhibiti sauti ile isilete kizaa zaa ndani ya taxi. Nilipompa kinywa tu shughuli ikwa mwisho huku nikicheki misuli ikiwa imemkakamaa kama mgonjwa wa ‘tetenasi’. Nilimchomolea kitambaa kwenye mkoba wake nikampa ajisafishe mwenyewe.


********

Kwa upande wa Mood na Fety ilikuwa ni kinyume kwani mchezo ulipozidi, kilitokea kipengele cha ajabu kuyoka kwenye kinywa cha Fety jambo ambalo kidogo lingesababisha ajali kwenye makutano ya barabara kuu itwayo stesheni ya Kigoma kuelekea ujiji maeneo ya Mwanga sokoni. Isingekuwa umakini wa dereva nahisi abiria wote leo hii tungelikuwa ama peponi au jehanamu baada ya kuhukumiwa kwa matendo maovu yaliyokinyume na maadili ya jamii za kiafrika kwa kushiriki ngono kwa njia isiyo halali, yaani uzinzi. Tulimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuepushia ajali hiyo ambayo ingetufanya tusaulike katika dunia hii ambayo imegubikwa na utandawazi wa kila namna kuanzia teknolojia ya kisayansi hadi ya mahusiano ya tendo la ndoa. Dereva alikiweka gari pembeni kisha akafungua milango yote ili ajue kulikoni kwa abiria wake. Alipowasha taa alikutana na kioja cha mwaka mara baada ya kumkuta Mood akiwa nusu uchi suruali ikielekea kwenye magoti kama vile mtu aliyefumaniwa kwenye choo kilichowazi pasina kutegemea. Kigine kilichomchefua dereva huyo ni kitendo cha kukutana na vidimbwi vya maji vyenye harufu ya janaba vilivyosheheni gari zima. Dereva hakupenda kutujzia nzi abiria wake bali alitupiga nauli mara mbili kisha akatuacha njia panda huku tukilaumiana kwa mambo yaliyotokea.


********

Tulibadilisha usafiri kwa kukodi taxi nyingine iliyotupeleka bila tatizo lolote njiani. Tulishuka maeneo ya TANESCO ili tuelekee shuleni kupitia njia za mikato kuepuka kukamatwa na uongozi wa shule. Kwa kuwa ilikuwa bado ni mapema kwa masaa ya Kigoma, yaani saa mbili kamili usiku, hatukuwa na sababu ya kuambatana na vimwana wetu bali tuliagana kisha sisi tukachikichia vichochoroni ili tuibukie madarasani na tujifanye kama tulikuwepo maeneo hayo toka mwanzo. Tulifika shuleni salama pasina kushitukiwa na mtu yoyote hata maskauti wanaojifanya kuwa wao ni mbwa wa shule hawakufua dafu. Nilielekea kwenye darasa ambalo wanadini au kikundi cha dini ninachoabudia huabudu kwa lengo la kusikia mahubiri ingawa ilikuwa ni kinafiki zaidi. Nilivoingia tu, nilipokelewa kwa shangwe kuu huku wenzangu wakisema hakika Bwana amewajibia maombi yao kwani walikuwa wakinisubiri kwa muda mrefu pasina kuwa na taarifa yoyote ile ya kuugua au dharura. Niliinama kwa aibu kwani hata ile salamu yetu ya kawaidi siku hiyo nilishindwa kuitoa ipasavyo licha ya kuzaliwa na kukulia katika mazingira ya kiimani. Hapo ndiop nilipogundua ya kuwa niko kwenye FUMANIZI LA MAPENZI. Kwa kuwa ilikiwa ni zamu yangu kuwahudumia wenzangu niliungana nao na ibada au kipindi kikaanza huku nikisumbuliwa na harufu kali ya shombo la janaba ambalo nilihisi kuwa mule ndani wote pua zao zimeshaninusa, kumbe sivyo bali ni hofu iliyoambatana na kuathiriwa kisaikolojia na dhambi niliyoivamia kilimbukeni.

====>>Itaendelea wiki ijayo...

Usiikose SEHEMU YA 16>>> ya Riwaya hii ifikapo Jumatatu ya wiki ijayo, na utaipata hapa Zero Degree pekee.
Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 15 Fumanizi la Mapenzi: Sehemu ya 15 Reviewed by Zero Degree on 7/21/2017 09:52:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.