Loading...

IGP Sirro amefanya mabadiliko mengine ndani ya Jeshi la Polisi

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, (SACP) Suzan Kaganda.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko ya Makamanda kwa Mkoa wa Shinyanga na Mkoa wa Kipolisi Kinondoni.


Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, (ACP) Muliro J. Muliro.
IGP Sirro amefanya mabadiliko mengine ndani ya Jeshi la Polisi IGP Sirro amefanya mabadiliko mengine ndani ya Jeshi la Polisi Reviewed by Zero Degree on 7/19/2017 08:02:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.