Loading...

Jezi mpya za Chelsea za nyumbani na ugenini kwa msimu wa 2017/18

Jezi ya nyumbani
Mabingwa wa Uingereza klabu ya Chelsea, rasmi wametangaza jezi mpya za nyumbani na ugenini watakazotumia msimu mpya wa 2017/2018.

Jezi ya ugenini
Jezi hizo zenye chapa ya kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike imezinduliwa kwa mara ya kwanza klabuni hapo katika historia ya miaka yake 112.

Jezi mpya za Chelsea za nyumbani na ugenini kwa msimu wa 2017/18 Jezi mpya za Chelsea za nyumbani na ugenini kwa msimu wa 2017/18 Reviewed by Zero Degree on 7/02/2017 12:22:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.