Kesi ya Jamali Malinzi na Katibu wake imeahirishwa hadi Julai 30
Malinzi na wenzake wanaotuhumiwa katika makosa zaidi ya 25 yakiwemo ya matumizi mabaya ya ofisi pia utakatishaji fedha, walifikishwa tena leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kabla ya kuahirishwa.
Moja ya makosa yanayowakabiri ni utakatishaji fedha ambalo halina dhamana. Watuhumiwa hao wamerejeshwa mahabusu tena.
Kesi ya Jamali Malinzi na Katibu wake imeahirishwa hadi Julai 30
Reviewed by Zero Degree
on
7/17/2017 12:57:00 PM
Rating: