Loading...

Wajumbe wanne wa kamati ya uchaguzi TFF wapigwa chini


Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imewaondoa katika kamati ya uchaguzi wajumbe wanne kwenye kamati hiyo.

Uamuzi wa Kamati ya Utendaji ya TFF iliyokaa leo umefanyika baada ya kubaini wajumbe wote wanne walikuwa na matatizo.

Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Salum Madadi amesema wajumbe wanne walioondolewa, watatu walibainika kukiuka taratibu na kanuni na mmoja aliteuliwa kimakosa.

“Hivyo kamati ya utendaji imeteua wajumbe wote wanne kuziba nafasi zao,” alisema.
Wajumbe wanne wa kamati ya uchaguzi TFF wapigwa chini Wajumbe wanne wa kamati ya uchaguzi TFF wapigwa chini Reviewed by Zero Degree on 7/05/2017 12:14:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.