Loading...

Cristiano Ronaldo asimamishwa mechi 5 kwa kitendo cha kumsukuma mwamuzi


Cristiano Ronaldo amesimamishwa kucheza mechi tano kutokana na kitendo cha kumsukuma mwamuzi katika mechi ya Spanish Super Cup dhidi ya Barcelona.


Ronaldo alimsukuma mwamuzi Ricardo de Burgos Bergoetxea mara baada ya kumlamba kadi ya pili ya njano iliyozaa kadi nyekundu.

Kama haitoshi, Ronaldo amepigwa faini ya pauni 2,700 katakana na kitendo hicho.
Cristiano Ronaldo asimamishwa mechi 5 kwa kitendo cha kumsukuma mwamuzi Cristiano Ronaldo asimamishwa mechi 5 kwa kitendo cha kumsukuma mwamuzi Reviewed by Zero Degree on 8/14/2017 07:17:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.