Loading...

Hatimaye Tshishimbi amejiunga na klabu ya Yanga mjini Pemba


Kiungo mkabaji mpya wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi ametua mjini Pemba.

Tshishimbi anakwenda kuunganana Yanga ambayo imeweka kambi mjini Pemba kujiandaa na mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, Jumatano.

Kutua kwa Tshishimbi kunakamilisha idadi ya wachezaji wapya wa Yanga na kuondoa hofu ya safu ya kiungo.

Mkongo huyo amejiunga na Yanga akitokea Mbabane Swallows ya Swaziland.
Hatimaye Tshishimbi amejiunga na klabu ya Yanga mjini Pemba Hatimaye Tshishimbi amejiunga na klabu ya Yanga mjini Pemba Reviewed by Zero Degree on 8/18/2017 08:57:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.