Loading...

Mbunge Esther Bulaya akamatwa Bunda


JESHI la Polisi Mkoani Mara limemkamata Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Amos Bulaya (CHADEMA) akiwa katika Hotel ya Kifa Best Point Wilayani Tarime akidaiwa kutaka kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya, Kamishina Msaidizi Mwandamizi Henry Mwaibambe amesema wabunge Bulaya na John Heche hawatakiwi kujumuika kwenye mkutano wa Bunge wa Jimbo la Tarime.
Mbunge Esther Bulaya akamatwa Bunda Mbunge Esther Bulaya akamatwa Bunda Reviewed by Zero Degree on 8/20/2017 12:43:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.