Rais Mwinyi aahidi kuongeza pensheni kwa wastaafu
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo Novemba 10, 2025 ameahidi kuongeza maradufu pensheni kwa Wazee Wastaafu kuanzia miaka 70 visiwani humo.
“Wazee wote wanaofikia umri wa miaka 70 wataendelea kupatiwa Pensheni jamii. Ahadi yangu ni kuongeza kiwango wanachopata sasa kwa kadri hali yetu ya uchumi itakavyoruhusu.”- Rais Hussein Mwinyi akifungua Baraza la 11 la Wawakilishi Zanzibar.
Rais Mwinyi aahidi kuongeza pensheni kwa wastaafu
Reviewed by Zero Degree
on
11/11/2025 05:44:00 PM
Rating:
Reviewed by Zero Degree
on
11/11/2025 05:44:00 PM
Rating:
