Loading...

Zungu achaguliwa kuwa Spika Mpya wa Bunge


Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Musa Azzan Zungu amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Tanzania.

Zungu ameshinda kwa kupata kura 378 kati ya kura zote 383 zilizopigwa leo Bungeni wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu wa Bunge leo Novemba 11, 2025.
Zungu achaguliwa kuwa Spika Mpya wa Bunge Zungu achaguliwa kuwa Spika Mpya wa Bunge Reviewed by Zero Degree on 11/12/2025 12:46:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.