Loading...

Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania


Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa waziri mkuu wa tanzania.

Jina la Mwigulu ambaye ni Mbunge wa Iramba Magharibi limewasilishwa bungeni leo Novemba 13, 2025 ambapo wabunge wanatarajiwa kupiga kura ya kumthibitisha muda mfupi ujao.
Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Reviewed by Zero Degree on 11/13/2025 12:52:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.