Loading...

Rais wa Misri amaliza ziara ya siku 2 nchini Tanzania


Rais wa Misri, Abdel Fattah el-Sisi amemaliza ziara yake rasmi ya kiserikali ya siku mbili nchini aliyoifanya kwa mwaliko wa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, baada ya kukamilika kwa ziara ya Tanzania Rais el-Sisi anaelekea Rwanda kwa ziara nyingine ya siku mbili na baada ya hapo ataenda Chad na Gabon.




Rais wa Misri amaliza ziara ya siku 2 nchini Tanzania Rais wa Misri amaliza ziara ya siku 2 nchini Tanzania Reviewed by Zero Degree on 8/15/2017 02:54:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.