Loading...

Usain Bolt apewa ofa ya kujiunga na timu ya Burton Albion


Mwanariadha Usain Bolt amepewa ofa kujiunga na klabu ya Ligi Daraja la Kwanza England ya Burton Albion, baada ya kutangaza kustaafu akiwa kwenye mashindano ya Riadha ya Dunia yaliyomalizika London wiki iliyopita Jumapili.

Usain Bolt amestaafu riadha, huku akifanya vibaya kwenye mbio za miata 100 na 400 alizokimbia kwenye mashindano hayo.

Kocha wa Burton, Nigel Clough amesema anafahamu rekodi ya mwanariadha huyo ambaye amewahi kucheza soka wakati akiwa mdogo hivyo amempa muda wa kutafakari kuhusu ofa ya kujiunga na klabu hiyo.
Usain Bolt apewa ofa ya kujiunga na timu ya Burton Albion Usain Bolt apewa ofa ya kujiunga na timu ya Burton Albion Reviewed by Zero Degree on 8/16/2017 06:30:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.