Loading...

Wananchi mkoani Tanga wametakiwa kujipanga kunufaika na fursa


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewataka wananchi wa Tanga kujipanga kunufaika na fursa mablimbali za ajira ya biashara kufuatia mradi mkubwa wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga.



Wananchi mkoani Tanga wametakiwa kujipanga kunufaika na fursa Wananchi mkoani Tanga wametakiwa kujipanga kunufaika na fursa Reviewed by Zero Degree on 8/04/2017 12:06:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.