Loading...

Bondia Jake LaMotta afariki dunia


Bondia wa zamani wa uzito wa kati na mchekeshaji Jake LaMotta,amefariki dunia akiwa na miaka 95.

Mke wake amesema LaMotta amefariki nyumbani kwake kwa ugonjwa wa homa ya mapafu.

Alikuwa mpiganaji maarufu zaidi miaka ya 40 na 50.

Bondia Jake LaMotta enzi za upiganaji
Atakumbukwa kwa uvaaji wa kaptula yenye mistari ya chuichui na wakati fulani alikua akiingiza uchekeshaji wakati akipigana jambo lililomfanya mpinzani wake kuishia kucheka na yeye kushinda.
Bondia Jake LaMotta afariki dunia Bondia Jake LaMotta afariki dunia Reviewed by Zero Degree on 9/21/2017 09:42:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.