Loading...

Jeshi la polisi lakamata Gari la mafuta likiwa na shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku


Jeshi la polisi mkoani Songwe kwa kushirikiana na Mamlaka ya chakula na dawa TFDA,na Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wamekamata shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku kwa sheria ya chakula na dawa na kwamba havijasajiliwa kwa matumizi ya binadamu ambapo vimenaswa vikiingizwa nchini kupitia forodha ya Tunduma kwa gari la mafuta la Oilcom likiendeshwa na dereva bwana Iddy Seif anayetafutwa na polisi pamoja na mmiliki wa bidhaa hizo baada ya kutokomea kusikojulikana.

Source: ITV
Jeshi la polisi lakamata Gari la mafuta likiwa na shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku Jeshi la polisi lakamata Gari la mafuta likiwa na shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku Reviewed by Zero Degree on 9/19/2017 06:36:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.