Loading...

Mahakama yakataa kupokea ushahidi wa msokoto wa bangi kesi ya Wema Sepetu


MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imekataa kupokea ushahidi wa msokoto wa bangi na vipisi viwili vya madawa hayo ya kulevya katika kesi inayomkabili mwigizaji Wema Sepetu.

Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Thomas Simba, aliyesema mahakama haiwezi kupokea vielelezo hivyo kwa sababu msokoto wa bangi na vipisi vina kasoro kwa kuwa shahidi hakuvifafanua mahakamani. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba 12 mwaka huu.
Mahakama yakataa kupokea ushahidi wa msokoto wa bangi kesi ya Wema Sepetu Mahakama yakataa kupokea ushahidi wa msokoto wa bangi kesi ya Wema Sepetu Reviewed by Zero Degree on 9/01/2017 01:07:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.