Loading...

Mwalimu ampa mimba mwanafunzi wa darasa la 7


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amelaani kitendo cha mwalimu wa shule ya msingi Samanzi iliyopo wilayani Kalambo mkoani Rukwa, kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la saba.

Soma taarifa hiyo hapa chini.


Mwalimu ampa mimba mwanafunzi wa darasa la 7 Mwalimu ampa mimba mwanafunzi wa darasa la 7 Reviewed by Zero Degree on 9/22/2017 07:49:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.