Loading...

Ofisi ya Bunge imekanusha kumnyang'anya gari Freeman Mbowe


Ofisi ya Bunge imekanusha kumnyang’anya gari mbunge Freeman Mbowe na kuwa linatafutiwa kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi ili Mbowe akalitumie Nairobi.

Ofisi ya Bunge imekanusha kumnyang'anya gari Freeman Mbowe Ofisi ya Bunge imekanusha kumnyang'anya gari Freeman Mbowe Reviewed by Zero Degree on 9/29/2017 02:24:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.