Loading...

Okwi aweka rekodi mpya Simba SC


Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Agosti- Septemba kutoka katika klabu yake Simba.

Hayo yamebainishwa na taarifa kutoka katika kurasa maalum ya timu hiyo baada ya mchezaji huyo kupigiwa kura na wanachama wa Simba pamoja na mashabiki zake kupitia mtandao wao wa kijamii.

Emmanuel Okwi amekuwa mchezaji wa kwanza kuchukua tuzo hiyo ya mchezaji bora ndani ya timu tokea uliopoanza msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/2018.

Okwi aweka rekodi mpya Simba SC Okwi aweka rekodi mpya Simba SC Reviewed by Zero Degree on 9/22/2017 09:03:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.