Loading...

PICHA: Cristiano Ronaldo azindua ‘perfume’ yake


Nyota wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo maarufu kama CR 7, amezindua Manukato ‘perfume’ yake mpya ambayo ameipa jina la CR7 au de Toilette.

Nyota huyo wa Mabingwa wa Klabu Bingwa Barani Ulaya, Real Madrid amezindua manukato hayo hapo jana siku ya Alhamisi nakutarajiwa kuuzwa kwa paundi 19 .

Kwa picha, uzinduzi wa Manukato ya Cristiano Ronaldo ‘CR7’






PICHA: Cristiano Ronaldo azindua ‘perfume’ yake PICHA: Cristiano Ronaldo azindua ‘perfume’ yake Reviewed by Zero Degree on 9/09/2017 11:20:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.