Utafiti: Walaji wa nyama ya Nguruwe hatarini kupata ugonjwa wa kifafa
Hata hivyo utafiti wa kisayansi kutoka chuo kikuu cha kilimo cha sokoine ( SUA), umebaini kuwa walaji wa nyama ya nguruwe wako katika hatari ya kupata magonjwa kama vile kifafa kutokana na mnyoo Tegu uliopo kwenye nyama ya nguruwe.
Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na mtafiti wa magonjwa ya binadamu na wanyama Dkt. Boa Mathias Emanuel kutoka chuo kikuu cha SUA, na kwanza amemuuliza ueneaji wa ugonjwa huu. Zaidi bofya Hapa.
Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na mtafiti wa magonjwa ya binadamu na wanyama Dkt. Boa Mathias Emanuel kutoka chuo kikuu cha SUA, na kwanza amemuuliza ueneaji wa ugonjwa huu. Zaidi bofya Hapa.
Utafiti: Walaji wa nyama ya Nguruwe hatarini kupata ugonjwa wa kifafa
Reviewed by Zero Degree
on
9/13/2017 07:37:00 AM
Rating: