Manji anyang'anywa shamba lenye zaidi ya ekari 700
Lukuvi amesema shamba lingine la Kampuni ya Amadori lenye ukubwa wa eka 5,400 pia limefutwa. Waziri amesema mashamba hayo sasa yako mikononi mwa Serikali na yatapangiwa matumizi mengine.
Lukuvi amewaonya wananchi wasivamie maeneo hayo kwa kuwa watakaokamatwa watashitakiwa. “Muyaache maeneo hayo kama yalivyo mkijenga tutakuja kuvunja,” amesema.
Manji anyang'anywa shamba lenye zaidi ya ekari 700
Reviewed by Zero Degree
on
9/13/2017 11:47:00 PM
Rating: