Loading...

Idadi ya waliokufa kwenye ajali ya Hiace Ziwa Victoria yafikia 12


Idadi ya watu waliokufa baada ya Toyota Hiace kuzama Ziwa Victoria imeongezeka na kufikia 12.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema katika ajali hiyo watu watatu wameokolewa wakiwa hai.

Msangi amesema walionusurika wameokolewa na wananchi ambao ni wataalamu wa kuogelea.
Idadi ya waliokufa kwenye ajali ya Hiace Ziwa Victoria yafikia 12 Idadi ya waliokufa kwenye ajali ya Hiace Ziwa Victoria yafikia 12 Reviewed by Zero Degree on 10/09/2017 07:18:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.