Loading...

Mwanza: Mama atiwa mbaroni kwa kuiba watoto watatu


Mama mmoja aliyetambulika kwa jina la Asia Ismali alimaarufu kama Apendeki Katembo Rashid mwenye umri wa miaka 37 raia wa Congo anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuiba watoto watatu Nyamagana Mwanza.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema jeshi la polisi linamshikilia mama huyo kwa tuhuma za kuiba watoto watatu, wawili wakiwa na umri wa miaka mitatu na mmoja akiwa na umri wa mwaka mmoja na nusu.
Mwanza: Mama atiwa mbaroni kwa kuiba watoto watatu Mwanza: Mama atiwa mbaroni kwa kuiba watoto watatu Reviewed by Zero Degree on 10/20/2017 12:29:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.