skip to main |
skip to sidebar
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amemtaka Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu atulie hadi apone kabla hajasema mengi.
Katika kurasa zake za mitandao ya kijamii ya leo Alhamisi akiwa ameambatanisha na picha ya Lissu ameandika, “Mjomba tunamshukuru Mungu kwa tabasamu hili la matumaini! Nakuombea afya iimarike kabla hujasema mengi! Tulia mjomba upone kabisa kwanza!”
Ujumbe wa Nape kwa Tundu Lissu
Reviewed by
Zero Degree
on
10/20/2017 12:25:00 AM
Rating:
5