Loading...

Steven Gerrard atabiri bingwa wa UEFA 2017/18


Steven Gerrerd anaipa nafasi kubwa klabu ya Manchester City kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa msimu huu.


Manchester City walibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Napoli ya Italia juzi Jumanne kwenye michuano hiyo.

Nyota wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard alisema kwamba, matokeo ya mechi kati ya City na Napoli yanathibitisha kwamba vigogo hao wa Uingereza watanyakua Kikombe hicho.

Kwa mujibu wa taarifa ya "BT Sport", Gerrard alisema: “Kwa matokeo haya ya mechi dhidi ya kikosi bora cha Napoli, ...Manchester City nawapa nafasi ya pekee katika mashindano haya.”
Steven Gerrard atabiri bingwa wa UEFA 2017/18 Steven Gerrard atabiri bingwa wa UEFA 2017/18 Reviewed by Zero Degree on 10/19/2017 11:30:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.