Loading...

Serikali yakanusha kufanya uteuzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imekanusha taarifa ya Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya inayosambazwa mitandaoni. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa amesema kuwa taarifa hii ni ya uongo hivyo ipuuzwe imetengenezwa na wahalifu.

Soma taarifa kamili hapo chini:

Serikali yakanusha kufanya uteuzi Serikali yakanusha kufanya uteuzi Reviewed by Zero Degree on 11/24/2017 05:20:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.