Loading...

Breaking News: Mwenyekiti wa CCM mkoa apata ajali na familia yake


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake, wamepelekwa katika hospital ya Wilaya ya Kiomboi kwa ajili ya matibabu.


Mke wake na watoto wawili wamepewa rufaa, lakini yeye na wanae wengine wawili wapo Hospitali ya Wilaya Kiomboi. Mtoto mmoja hawezi kusafirishwa sababu hali yake sio nzuri.

<<<<Endelea kufuatilia ukurasa huu kwa taarifa zaidi>>>
Breaking News: Mwenyekiti wa CCM mkoa apata ajali na familia yake Breaking News: Mwenyekiti wa CCM mkoa apata ajali na familia yake Reviewed by Zero Degree on 12/25/2017 08:36:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.