Loading...

Simba yavuliwa ubingwa wa FA na timu ya daraja la pili


Simba imevuliwa ubingwa wa Kombe la Shirikisho baada ya kufungwa kwa penalti 4-3 dhidi ya Green Worriors inashiriki Ligi Daraja la Pili.

Mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, iliisha kwa sare ya mabao 1-1 kwa dakika 90.

Baada ya hapo iliamualiwa kwa mikwaju ya penalti na wachezaji watatu wa Simba, Muzamiru Yassin, Hussein Zimbwe ’Tshabalala’ na Jonas Mkude walikosa penalti zao.

Kipa Aishi Manula wa Simba na Shabani Dihile walijipangua mikwaju ya penalti
Simba yavuliwa ubingwa wa FA na timu ya daraja la pili Simba yavuliwa ubingwa wa FA na timu ya daraja la pili Reviewed by Zero Degree on 12/22/2017 09:27:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.