Loading...

Hukumu ya kesi ya 'Scorpion' yaahirishwa


Hukumu ya mwalimu wa sanaa ya kujihami ‘martial arts’ Salum Njwete maarufu kama Scorpion, ya kumjeruhi na kumtoboa macho kinyozi Said Mrisho leo ilishindwa kusomwa katika Makahama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar kufuatia hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo, Flora Haule, kusema bado hajakamilisha kuiandaa.

Hakimu huyo ameiharisha kesi hiyo mpaka Januari 22 mwaka huu ambapo amesema atatoa hukumu hiyo. Kufuatia hali hiyo, Scorpion amerudishwa rumande mpaka tarehe hiyo.
Hukumu ya kesi ya 'Scorpion' yaahirishwa Hukumu ya kesi ya 'Scorpion' yaahirishwa Reviewed by Zero Degree on 1/10/2018 03:51:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.