Loading...

Ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza umiliki wa kampuni ya Airtel


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema imebaini kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria katika ubinafisishwaji wa Shirika la Simu Tanzania (TTCL) kwenda kwa Celtel, Zain na baadaye Airtel hivyo wanataka kufanya mazungumzo na Airtel.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema hayo leo Januari 11, 2018 wakati akikabidhi ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza umiliki wa kampuni ya Airtel na kusema kuwa wamegundua kulikuwa na uozo mkubwa uliopelekea nchi kupata hasara kubwa.


Ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza umiliki wa kampuni ya Airtel Ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza umiliki wa kampuni ya Airtel Reviewed by Zero Degree on 1/11/2018 06:47:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.