Loading...

Tuutumie mwaka 2018 kutafakari mwelekeo wa Taifa letu – Halima Mdee



Mbunge wa Kawe, Halima James Mdee amewataka watanzania kutumia mwaka mpya wa 2018 kutafakari kwa kina mwelekeo wa Taifa na kuchukua hatua kila mmoja kwa pale panapohitajika kurekebishwa.

Mh. Mdee ametumia ukurasa wake wa Twitter kuyasema hayo kwenye salamu za Mwaka Mpya ambapo alisema kuwa Tanzania ni yetu sote.

Maneno ya Mh. Halima Mdee kwa Watanzania kuukaribisha mwaka 2018: Heri ya Mwaka Mpya Watanzania we zangu. Mwaka 2018 tuutumie vyema kutafakari kwa kina mwelekeo wa Taifa letu na tuchukue hatua kila mmoja kwa nafasi yake pale ambapo tunadhani panahitaji kurekebishwa kwa maslahi mapana ya Nchi Yetu.Hakuna mwenye wajibu wa ZIADA ,Tanzania ni yetu!
Tuutumie mwaka 2018 kutafakari mwelekeo wa Taifa letu – Halima Mdee Tuutumie mwaka 2018 kutafakari mwelekeo wa Taifa letu – Halima Mdee Reviewed by Zero Degree on 1/02/2018 07:16:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.