Loading...

Uhamisho wa wachezaji uliokamilika Ligi Kuu ya Uingereza Januari 2018


Nichezaji gani aliyesajili? Yupi aliyeondoka katika klabu yake? Tazam katika orodha hapo chini, kuona wachezaji waliosajiliwa na walioondoka katika klabu zao kwenye Ligi Kuu ya Uingereza tangu January 1 hadi January 31.

ARSENAL
Waliosajiliwa:

  • Konstantinos Mavropanos kutoka PAS Giannina kwa pauni milioni 1.8
  • Henrikh Mkhitaryan kutoka Manchester United kwa kubadilishana
  • Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Borussia Dortmund kwa pauni milioni 60
Walioondoka:
  • Alexis Sanchez kwenda Manchester United kwa kubadilishana
  • Theo Walcott kwenda Everton kwa pauni milioni 20
  • Francis Coquelin kwenda Valencia, hakuna maelezo yaliyotolewa
  • Tafari Moore kwenda Wycombe Wanderers kwa mkopo
  • Ben Sheaf kwenda Stevenage kwa mkopo
BOURNEMOUTH
Waliosajiliwa: (Hakuna mchezaji aliyesajiliwa hadi hivi sasa)

Walioondoka:

  • Connor Mahoney kwenda Barnsley kwa mkopo
  • Mihai Dobre kwenda Rochdale kwa mkopo
BRIGHTON
Waliosajiliwa:
  • Leonardo Ulloa kutoka Leicester kwa mkopo
  • Viktor Gyokeres kutoka IF Brommapojkarna, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
  • Warren O'Hara kutoka Bohemians, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
  • Jurgen Locadia kutoka PSV kwa pauni milioni 14.1
Walioondoka:
  • Jamie Murphy kwenda Rangers kwa mkopo
  • Kazenga LuaLua kwenda Sunderland, ameondoka kama mchezaji huru
  • Ben Hall kwenda Notts County kwa mkopo
BURNLEY
Waliosajiliwa:
  • Georges-Kevin N'Koudou kutoka Tottenham, kwa mkopo
  • Aaron Lennon kutoka Everton, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
Walioondoka:

  • Dan Agyei kwenda Blackpool, kwa mkopo
  • Tom Anderson kwenda Doncaster, kwa mkopo
  • Alex Whitmore kwenda Chesterfield, ameondoka kama mchezaji huru
  • Tom Anderson kwenda Doncaster, ameondoka kwa mkopo
CHELSEA
Waliosajiliwa:

  • Ross Barkley kutoka Everton kwa pauni milioni 15 pamoja na ziada
  • Emerson Palmieri kutoka Roma kwa pauni milioni 17
Walioondoka:

  • Diego Costa kwenda Atletico Madrid, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
  • Jake Clarke-Salter kwenda Sunderland, kwa mkopo
  • Kenedy kwenda Newcastle kwa mkopo
  • Baba Rahman kwenda Schalke, kwa mkopo
  • Charly Musonda kwenda Celtic, kwa mkopo
CRYSTAL PALACE
Waliosajiliwa:

  • Jaroslaw Jach kutoka ZagÅ‚ebie Lubin, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
  • Erdal Rakip kutoka Benfica, kwa mkopo
Walioondoka:

  • Noor Husin kwenda Notts County, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
  • Keshi Anderson kutoka Swindon, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
  • Sully Kaikai kutoka Charlton, kwa mkopo
EVERTON
Waliosajiliwa:

  • Cenk Tosun kutoka Besiktas, kwa pauni milioni 27
  • Theo Walcott kutoka Arsenal kwa pauni milioni 20
Walioondoka:

  • Ross Barkley kwenda Chelsea, kwa pauni milioni 15 na ziada
  • Liam Walsh kwenda Bristol City, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
  • Kevin Mirallas kwenda Olympiakos, kwa mkopo
  • Sandro Ramirez kwenda Sevilla, kwa mkopo
  • Harry Charsley kwenda Bolton, kwa mkopo
  • Aaron Lennon kwenda Burnley, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
  • Sandro Ramirez kwenda Sevilla, kwa mkopo
HUDDERSFIELD
Waliosajiliwa:

  • Terence Kongolo kutoka Monaco, kwa mkopo
  • Alex Pritchard kutoka Norwich, kwa pauni milioni 11
Walioondoka:
  • Jack Payne kwenda Blackburn, kwa mkopo
LEICESTER CITY
Waliosajiliwa:

  • Adrien Silva kutoka Sporting Lisbon, kwa pauni milioni 22
  • Fousseni Diabate kutoka Gazelec Ajaccio, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
Walioondoka:

  • Raul Uche kwenda Real Betis, kwa mkopo
  • Leonardo Ulloa kwenda Brighton, kwa mkopo
  • Ahmed Musa - CSKA Moscow, loan
LIVERPOOL
Waliosajiliwa:

  • Virgil van Dijk kutoka Southampton, kwa pauni milioni 75
Walioondoka:
  • Philippe Coutinho kwenda Barcelona, kwa pauni milioni 146
  • Daniel Sturridge kwenda West Brom, kwa mkopo
  • Cameron Brannagan kwenda Oxford United, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
  • Lloyd Jones kwenda Luton, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
  • Ryan Kent kwenda Bristol City, kwa mkopo
  • Marko Grujic kwenda Cardiff, kwa mkopo
MANCHESTER CITY
Waliosajiliwa:

  • Aymeric Laporte kutoka Athletic Bilbao, kwa pauni milioni 57
  • Jack Harrison kutoka New York City, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
Walioondoka:

  • Isaac Buckley-Ricketts kwenda Oxford United, kwa mkopo
  • Kean Bryan kwenda Oldham, kwa mkopo
  • Marlos Moreno kwenda Flamengo, kwa mkopo
  • Ashley Smith-Brown kwenda Oxford, kwa mkopo
  • Jack Harrison kwenda Middlesbrough, kwa mkopo
MANCHESTER UNITED
Waliosajiliwa:

  • Alexis Sanchez kutoka Arsenal, kwa kubadilishana
Walioondoka:

  • Henrikh Mkhitaryan kwenda Arsenal, kwa kubadilishana
  • Demetri Mitchell kwenda Hearts, kwa mkopo
  • Axel Tuanzebe kwenda Aston Villa, kwa mkopo
NEWCASTLE
Waliosajiliwa:

  • Kenedy kutoka Chelsea, kwa mkopo
Walioondoka:

  • Adam Armstrong kwenda Blackburn, kwa mkopo
  • Dan Barlaser kwenda Crewe, kwa mkopo
SOUTHAMPTON
Waliosajiliwa:

  • Guido Carrillo kutoka Monaco, kwa pauni milioni 19.1
Walioondoka:
  • Virgil van Dijk kwenda Liverpool, kwa pauni milioni 75
  • Ryan Seager kwenda Yeovil, kwa mkopo
  • Matt Targett kwenda Fulham, kwa mkopo
STOKE CITY
Waliosajiliwa:

  • Moussa Niakete kutoka Paris FC, kama mchezaji huru
  • Moritz Bauer kutoka Rubin Kazan, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
  • Kostas Stafylidis kutoka Augsburg, kwa mkopo
Walioondoka:
  • Harry Souttar kwenda Ross County, kwa mkopo
  • Josh Tymon kwenda MK Dons, kwa mkopo
SWANSEA CITY
Waliosajiliwa: (Hakuna aliyesajiliwa hadi hivi sasa)

Walioondoka:

  • Adam King kwenda Mansfield, kwa mkopo
  • Jay Fulton kwenda Wigan, kwa mkopo
  • Joe Rodon kwenda Cheltenham, kwa mkopo
TOTTENHAM HOTSPUR
Waliosajiliwa:

  • Lucas Moura kutoka Paris Saint-Germain, 
Walioondoka:

  • Georges-Kevin N'Koudou kwenda Burnley, kwa mkopo
  • Marcus Edwards kwenda Norwich, kwa mkopo
  • Anton Walkes kwenda Portsmouth, kwa mkopo
  • Luke Amos kwenda Stevenage, kwa mkopo
  • Ryan Loft kwenda Exeter, kwa mkopo
  • Cameron Carter-Vickers kwenda Ipswich, kwa mkopo
WATFORD
Waliosajiliwa:

  • Gerard Deulofeu kutoka Barcelona, kwa mkopo
  • Dodi Lukebakio kutoka Anderlecht, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
Walioondoka:
  • Alex Jakubiak kwenda Falkirk, kwa mkopo
  • Michael Folivi kwenda Boreham Wood, kwa mkopo
  • Charlie Rowan kwenda Accrington Stanley, kwa mkopo
  • Brice Dja Djedje kwenda Lens, kwa mkopo
  • Randell Williams kwenda Wycombe, kwa mkopo
WEST BROMWICH ALBION
Waliosajiliwa:

  • Ahmed Hegazi kutoka Al Ahly, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
  • Ali Gabr kutoka Zamalek FC, kwa mkopo
  • Daniel Sturridge kutoka Liverpool, kwa mkopo
Walioondoka:
  • Kane Wilson kwenda Exeter, kwa mkopo
  • Tyler Roberts kwenda Leeds kwa mkopo
  • Shaun Donnellan kwenda Yeovil, ameondoka kama mchezaji huru
  • Tahvon Campbell kwenda Forest Green, kwa mkopo
  • Kyle Edwards kwenda Exeter, kwa mkopo
WEST HAM UNITED
Waliosajiliwa:

  • Joao Mario kutoka Inter Milan, kwa mkopo
Walioondoka:
  • Martin Samuelsen kwenda Burton, kwa mkopo
  • Diafra Sakho - Rennes, ada ya uhamisho haijawekwa wazi
Uhamisho wa wachezaji uliokamilika Ligi Kuu ya Uingereza Januari 2018 Uhamisho wa wachezaji uliokamilika Ligi Kuu ya Uingereza Januari 2018 Reviewed by Zero Degree on 1/31/2018 08:15:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.