Loading...

Kambale wa Singida Utd amesimamishwa kazi na klabu yake kwa utovu wa nidhamu


Klabu ya Singida United imeamua kumsimamisha kazi mchezaji wake wa kimataifa Congo, Kambale Salita Gentil kufuatia kufanya vitendo vya utovu wa nidhamu mara kadhaa wakati akiitumiakia timu hiyo uwanjani.



Kambale wa Singida Utd amesimamishwa kazi na klabu yake kwa utovu wa nidhamu Kambale wa Singida Utd amesimamishwa kazi na klabu yake kwa utovu wa nidhamu Reviewed by Zero Degree on 2/01/2018 08:41:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.