Loading...

Niyonzima atua India kwa ajili ya matibabu


Kiungo Haruna Niyonzima ameondoka nchini tayari yuko nchini India tayari kuanza matibabu.

Niyonzima amekaa nje kwa zaidi ya miezi mitatu akisumbuliwa na maumivu ya goti.

Kiungo huyo raia wa Rwanda, ameondoka jana na ndege ya Emirates akipitia Dubai hadi nchini India.

“Tayari niko India salama, nasubiri kuanza matibabu,” alisema Niyonzima.
Niyonzima atua India kwa ajili ya matibabu Niyonzima atua India kwa ajili ya matibabu Reviewed by Zero Degree on 2/21/2018 05:59:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.