Loading...

Waziri wa Elimu aahidi kumsomesha mdogo wake na Akwilina


Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina Akwilini, Angela Akwilini ambaye kwa sasa anasoma kidato cha tatu.

Akizungumza leo Februari 23, 2018 baada ya mazishi ya Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam, Profesa Ndalichako amesema atamsomesha Angela hadi Chuo Kikuu.

Waziri wa Elimu aahidi kumsomesha mdogo wake na Akwilina Waziri wa Elimu aahidi kumsomesha mdogo wake na Akwilina Reviewed by Zero Degree on 2/23/2018 08:09:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.