Loading...

Ikulu yakanusha taarifa kuhusu Rais Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii


Mkurugenzi wa Mawasilano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa nayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa Rais Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Hamis Kigwangalla.

Msigwa amewataka wananchi kuipuuza taarifa hiyo kwani ni uzushi.


Ikulu yakanusha taarifa kuhusu Rais Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii Ikulu yakanusha taarifa kuhusu Rais Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii Reviewed by Zero Degree on 3/05/2018 09:40:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.