Loading...

Mayanga atangaza kikosi cha wachezaji 23 kitakachocheza dhidi ya Algeria na DR Congo


Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Salum Mayanga hii leo ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kitakacho wakabili Algeria na DR Congo katika mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA.


Stars itashuka dimbani nchini Algeria kuikabili timu ya taifa hilo Machi 22, 2018 wakati ile dhidi ya DR Congo ikitarajiwa kuchezwa Machi 27, 2018 kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mayanga atangaza kikosi cha wachezaji 23 kitakachocheza dhidi ya Algeria na DR Congo Mayanga atangaza kikosi cha wachezaji 23 kitakachocheza dhidi ya Algeria na DR Congo Reviewed by Zero Degree on 3/08/2018 07:28:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.