Loading...

Moto wateketeza watu wanne wa familia moja


Watu wanne wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto mkoani Pwani.

Kamanda wa polisi mkoa wa Pwani Jonathan Shana amesema ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo, katika kijiji cha Magwira wilayani Chalinze, na chanzo cha moto huo bado hakijajulikana, lakini kimeelezwa kwamba kulikuwa na hitilafu ya umeme.

Jeshi la Polisi mkoani Pwani limesema linaendelea kufanya uchunguzi juu ya tukio hilo, na litatoa tarifa zaidi
Moto wateketeza watu wanne wa familia moja Moto wateketeza watu wanne wa familia moja Reviewed by Zero Degree on 3/11/2018 04:10:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.