Loading...

Mwakyembe asikitishwa na kauli za Diamond


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo DKt. Harrison Mwakyembe amesema si busara kwa Diamond kushindana na serikali endapo ana ushauri wowote ni vema akauwasilisha kwa njia sahihi na si kumshambulia Naibu Waziri kwa dharua na kejeli.

Mwakyembe asikitishwa na kauli za Diamond Mwakyembe asikitishwa na kauli za Diamond Reviewed by Zero Degree on 3/21/2018 04:55:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.