Loading...

Makusanyo ya Kodi TRA yaongezeka


Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imekusanya Tsh. 11.78 Trilioni katika kipindi cha miezi tisa ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia Julai 2017 hadi Machi 2018, ikilinganishwa na Tsh. 10.86 Trilioni ambazo zilikusanywa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/17, ambacho ni sawa na ukuaji wa 8.46%.



Makusanyo ya Kodi TRA yaongezeka Makusanyo ya Kodi TRA yaongezeka Reviewed by Zero Degree on 4/10/2018 05:28:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.