Loading...

IGP Simon Sirro akutana na Rais wa TLS

MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (kushoto) akiongea na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume aliyefika makao makuu ya Jeshi la Polisi
MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume aliyefika makao makuu ya Jeshi la Polisi kwa lengo la kujitambulisha tangu alipochaguliwa kuongoza chama hicho ambapo pia walijadiliana masuala kadhaa ya kisheria.
IGP Simon Sirro akutana na Rais wa TLS IGP Simon Sirro akutana na Rais wa TLS Reviewed by Zero Degree on 5/22/2018 06:20:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.