Loading...

Bavicha watoa neno kufuatia kifo cha Maria na Consolata


Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) wamesema kuwa Taifa limepoteza nguvu kazi ya vijana kufuatia kufuatia kifo cha mapacha walioungana, Maria na Consolata Mwakikuti ambao walikuwa na ndoto kubwa pindi watakapomaliza masomo yao.

Bavicha watoa neno kufuatia kifo cha Maria na Consolata Bavicha watoa neno kufuatia kifo cha Maria na Consolata Reviewed by Zero Degree on 6/06/2018 06:05:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.